Eddie Ahmadys fashion blog

EDDIE AHMADYS BLOG
FASHION NEWS
Fashion Event
Work Shop
Models Activities
and more updates about Fashi0n Bloggers
in Town
IM EDDIE AHMADY....
Follow me on Twitter by @eddieahmady
Facebook Eddie Ahmady
BBM PIN:23855032

Wednesday, October 3, 2012

UPCOMING MODEL "EVRA JUMA"



Nice Totooo.. she is so photogenic from kiduka arts..... We proceed with her to advertise the face painting with the fashion photograph....
wait for new design of artworks.........

Saturday, September 22, 2012

LESOOOOOOOOOOOO LESOOOOOOOO ZA KIJANJA ZAIDI..........


Leso kali za kijanja zenye mvuto wa hali ya juu......................zinapatikana kwa order na pia kwa lejeleje
kuwa mjanja kutumia Leso za kipekee kama hizi!!!!!!!!we made it...!

Friday, September 21, 2012

CARDS SPECIAL NI MOOOOOOOOOOOOOTO......................!!!!!



Haya haya sasa KIDUKA haijaishia kwenye vikoi na face painting bali inakuletea CARDS SPECIAL ambazo zmetengenezwa kwa ubunifu wa uchoraji wa hali ya juu.............
unaweza kuzipata card hizi kwa kufanya mawasiliano kopitia namba zetu zilizopo chini kabisa.....!!!!we made it.

Wednesday, September 12, 2012

SALIMU A.K.A IMMU MODEL WA TANZANIA


WANCY MODEL HATARI HAPA NCHINI

MWANAMITINDO WA KIUME HAPA NCHINI TANZANIA KWASASA ANAZIDI FANYA VIZURI KATIKA KAZI YAKE MAANA MUONEKANO WAKE UNAZIDI KUWA MOTO SIKU HADI SIKU MMMMMH TIZAMA HAPO JUU KATIKA PICTURE YAKE NI HATARIIIIII........

WELL WELL WELL THIS IS NEW GUCCI PRODUCT

GUCCI BAG
HIZI NI NGUO MPYA KABISA ZILIZO TENGENEZWA NA KIWANDA BORA KABISA CHA GUCCI KINACHOTENGEZA NGUO,VIATU,MABEGI,SAA NA BIDHAA KIBAO........... JIPATIE SASA MAMBO MAPYA KUTOKA GUCCI...............

Tuesday, September 11, 2012

NEW NEW NEW NEW PANTS KUTOKA KWA SALIM ALI DESIGNER

PANTS HIZI ZIMETENGEZA NA MBUNIFU WA KITANZANIA MR SALIM ALI ZINAUZWA KWA BEI NA FUUU TU YAANI 25000........ PATA YAKO SASA

WANCY NELLS EMMAH.................. MWANAMITINDO WA KIBONGO

WANCY NI MWANAMITINDO NA NIMWALINU WA MITINDO HAPA BONGO YUPO KATIKA AGENCY YA MITINDO NITE.......... WANCY KWA SASA ANAKUJA JUU ZAIDI NA MOTO MKALI NA IJUMAA YA WIKI HII ATAKUWEPO KATIKA SHOW YA FNL KATIKA TELEVISION YA EAST AFRICA.........

SUETAAH LENYE UBORA HUMPENDEZA MWANAUME


DAAAAAAAAAAMMMMMMMMMMMMMMMN HE IS BONGO TREY SONGZ.....

MSANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA NCHINI TANZANIA JUX AMBAYE KWA SASA YUPO CHINA KWA AJILI YA MASOMO HIVI KARIBUNI IMERIPOTIWA KUWA AMECHORA TATTO KATIKA KIFUA CHAKE KAMA MSANII WA MAREKANI TREY SONGZ...... JUX ALIDAIKUWA ANAMKUBALI SANA SANA MSANII HUYO HIVYO HAKUWA NABUDI KUCHORA KAMA TREY SONGZ.......

HE IS USHER RHYMOND................


Monday, September 10, 2012

VIKOI VIKALIIIIIIIIIIIIIIIII MPAKA BASIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII



PATA BIDHAA MARIDADI KABISA KUTOKA KIDUKA ARTS... 
NI VIKOI VYA PEKEE KWA WANAWAKE NA WANAUME.... 
KWA BEI NAFUU KABISA................ KUTOKA KWA WABUNIFU WENYE VIPAJI VYA HALI YA JUU

HUYU NI WANCY....... WANCY NELLS HE HAS NEW LOOK


KIDUKA ART KAZINIIIII...............


GET THE NICE ART LIKE FACE PAINTING FROM THE GOOD ARTIST AND THE GOOD DESIGNER,,,,,,,,,,,,,,,,, HII NI MOJA YA KAZI ZA KIDUKA ARTS. we make it.

Thursday, September 6, 2012

MASSAI SHOES

WEWE KAMA MTANZANIA UNATAKIWA UWE MZALENDO KWA KUPENDA KU SUPPORT BIDHAA BORA ZENYE MVUTO TOKA TANZANIA..... VIATU VYA KIMASAI VINAPATIKANA HAPA HAPA JIJINI DAR ES SALAAM KAMA UNAITAJII WASILIANA NASI....