Eddie Ahmadys fashion blog
EDDIE AHMADYS BLOG
FASHION NEWS
Fashion Event
Work Shop
Models Activities
and more updates about Fashi0n Bloggers
in Town
IM EDDIE AHMADY....
Follow me on Twitter by @eddieahmady
Facebook Eddie Ahmady
BBM PIN:23855032
FASHION NEWS
Fashion Event
Work Shop
Models Activities
and more updates about Fashi0n Bloggers
in Town
IM EDDIE AHMADY....
Follow me on Twitter by @eddieahmady
Facebook Eddie Ahmady
BBM PIN:23855032
Friday, August 31, 2012
KWA JIJI LA DAR ES SALAAM VAA NGUO ZA AINA HII SIKU ZA MAPUMZIKO.........
MAVAZI HAYA NI KWAA AJILI YA KIPINDI CHA JOTO............... NA YANAFAA SANA KUVALIWA KWENYE MIJI KAMA DAR ES SALAAM, LOS ANGEL.............. NA SEHEM ZOTE ZENYE HALI YA JOTO................ PIA NIVIZURI ZAIDI KAMA UKAVAA NGUO ZA AINA HIZI SIKU KAMA JUMA MOSI AU JUMA PILI............. KWA SAFARI ZA BEACH AU KWA RAFIKI YAKO KIPENZI........
ASYA KHAMSINI MOJA YA MBUNIF NINAE MKUBALI TANZANIA
MBUNIFU ASYA KHAMSINI AMBAYE KWA SASA MAKAZI YAKE NI NCHINI MAREKANI....................... JE UNA MENGI UNATAKA KUJUA KUHUSU ASYA....? KAA MKAO WA KULA KESHO JUMAMOSI TAREHE 1 NITAKUWA MAHOJEANO NAE YAKWENYE SIMU.......... UTAZIPATA NEWZZ HIZI HAPA HAPA DUKANI KWETU............
MARTINI KADINDA AWAVALISHA NEW YORK
MOJA YA MODEL WA MAREKANI AKIFANYA FITTING YA NGUO YA MARTIN KADINDA..................... MARTIN KADINDA AMBAYE KWA SASA YUPO NEW YORK KWA AJILI YA ONESHO LA NGUO......... HONGERA SANA KADINDA
KHADIJA MWANAMBOKA.............. MBUNIFU WA TANZANIA
KHADIJA MWANAMBOKA MBUNIFU WAMAVAZI ANAETANGAZA KAZI ZAKE NA NGUO ZAKE ALIZO TENGENEZA KUPITIA BLOG YA KIDUKA KAA TAYARI KUONA NGUO ZAKE KUPITIA KIDUKA HIVI KARIBUNI
MUSTAFA HASSANALI IN BOTSWANA LEOOO..................... WAKILISHA FASHION YA TANZANIA.
MBUNIFU WA MAVAZI NCHINI TANZANIA MR MUSTAFA HASSANALI.................. LEO NDANI YA BOTSWANA ANA FANYA ONESHO LA MAVAZI.............. AMBALO ATAONESHA MITINDO MIZURI TOKA NCHINI TANZANIA HONGERA SANA NA WAKILISHA TAIFA.................... MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI MITINDO NA MBUNIFU WETU MUSTAFA..............
Thursday, August 30, 2012
MASHATI MAKALI............ TOKA KWA HAMEED ABDUL
MASHATI HAYA YANAPATIKANA KWA HAMEED ABDUL PEKE YAKE.................... YANA PENDEZA MWILINI CHEKI NASI KAMA UNAYATAKA........ BEI YAKE NI POA SANA WASILIANA NASI KWA MANUNUZI +255 718 44 60 71
Wednesday, August 29, 2012
SALIM ALI MTOKO DERSIGNE,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, LOOK AT HIS KAZI NI BALAAAAAAAAAAAAA
NGUO DERSINGNED BY SALIM ALI MTOKO..................... SALIM ANAPATIKANA HAPA HAPA JIJINI DAR ES SALAAM.................... UKITAKA KAZI YAKE WASILIANA NASI +255 718 44 60 71
G MWAX MWAX MWAX.............LOOK AT HER
LOOK AT HER EYES......................... SHE GOT HER OWN CUTE BY BORN.................. NI GEMMA V MWAX .......................... NI MTOTO MZURI NA NIMWANAMITINDO..................... KWA SASA BADO HAJAANZA RASMI KAZI YA UWANA MITINDO............... MTAFUTE ON FACEBOOK AS GEMMA V MWAX
MITINDO NIITE..................... THEY PRESENT MACRIDA OLAS SISTER
MITINDO NITE AGENCY INAYO FANYA VIZURI KATIKA FAHION HAPA NCHINI.................. THEY PRESENT MACRIDA JOSEPH
ZAKKYYYYY................. THE REALY ART
HATARI YA MIJINI ZAKKY............. NIMEZOEA KUMITA HANDSOME BOY WA MIGOMIGO............... MUZIKI WAKE NI ASALI TOSHA HAPA DAR ES SALAAM............ ZAKKY AMEFANYA NGOMA KAZAA AMBAZO ZITA KUWA KWA HEWA SOON............. KAA MKAO WA KULAA......... ITS ZAKKY WA DON
MARTIN KADINDA SINGEL JARKET
THE JARKET DERSIGNED BY MARTIN..................... NA ALIETUPIA NI HEMEDY SULEIMANI.............. KADINDA KWA SASA ANA COLLECTION YA NGUO MBALI MBALI NA NI HATARI SANA.................... KAMA UNA HITAJI NGUO BORA JUS FACE HIM MR KADINDA IN HIS OFFICIAL BLOG SPOT WWW.MVUTOKWANZA.BLOGSPOT.COM
STAR LOOK A LIKE.................. ALY BITOU
JE....... UNAMJUA LIL LOYD WA BONGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO........... NDO HUYO HAPO ANAITWA ALLY OMARY............. FIND HIM ON FACEBOOK AS ALY BITOU............
WA DON TOWN...................... K KOOO NA MIGOMIGO
WA DON FROM K KOO AND MAGOMENI............ JAMAA NI WASANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NA KWA SASA WANANGOMA KALI AMBAZO ZIPO NJIANI KUINGIA STREET................. NA KWA SASA MSANII ANAE LISIMAMISHA KUNDI HILI NI ZHAKIE.......... AMBAYE NI KING WA MIONDOKO YA R N B.................... STAY TUNE KWA NGOMA KALI NA MPYA TOKA KWA WA DON TOWN............ HALAAAAAAAAAAAAAA...........
Tuesday, August 28, 2012
FASHION NEWSSSSSSSSSS........ HALLLAH
NAOMIIII BABYYYYYYYYY.......................... AZINDUA RASMI COMPITITION YAKE BANKS............... YAAAAANI AMEANDAA SHINDANO LA KUTAFUTA MODELS NCHINI USA KWA LENGO LA KUKUZA VIPAJII.......... SASA NA MODELS WAKUBWA HAPA BONGO MNATAKIWA MUINUE VIPAJIIIII KWA STYLE KA HIZOOO.........
KIVUMBI COLLECTION
MARTNI SURVIVOR KADINDA......... HABARI Y A MUJINI HAS DECLAR RIGHT NOW ON HIS FACEBOOK PAGE KWAMBA ANAKWEA PIPA ON FRIDAY FROM DAR ES SALAAM TO USA...... THE DUDE AMEALIKWA AS A DERSIGNER TOKA BONGOOOOOOOOOOOOO........... ITAKUWA POA NA MIMI BLOGGER WA KWANZA EDDIE AHMADY KUTUPIA HABARII HIIII NAM WISH PROSPEROUS ON HIS JOURNEY.................
HAMISER MOBETOOO BABY
HAMISER MOBETOO IN THE ADV POST OF GOVIN GOSPERT........... SHE IS THE UPCOMING AND HOTTEST MODEL IN FASHION CAREER........... SHE HAS BEEN STARTED MODELING IN 2011, WHILE SHE HAS PARTICIPET VODACOME MISS TANZANIA IN LAST YEAR THOUGH HAD BEEN NEVER GET THE CLIMAX POINT IN THE COMPITITION............ OVERMORE SHE HAS HOLD CONTACT WITH MOVIE COMPANY AS A ACTRESS.......... NOT ONLY THAT BUT ALSO WORKING AS A VIDEO QUEEN AND COMMMERCIAL ADV...... I WOULD LIKE TO DECLAR THAT HAS FOSTERED FAST IN ENTERTAINMENT WORLD.......
Monday, August 27, 2012
EDDIE AHMADY THE KANKARAAAAAAAAAAHHHHHHHHHHH
TANZANIAN BOY EDDIE AHMADY HAS BEEN DROP IN HIS CAREER........... RIGHT NOW HE HASNT OWN GOOD SEX BODY AS BEFORE..................
KABELELE SUPER BLOGGER
KABELE OWNER OF KABELELEJR.BLOGSPOT.COM HE HAS CHILLN WITH THE WHITE GIRL MORE INFO ABOUT KABELELE VISITE WWW.KABELELEJR.BLOGSPOT.COM
SARAI UP COMIN G MODEL
MWANAMITINDO ANAECHIPUKIA NCHIN HAPAAA BONGO AME POST HER NEW PHOTO IN FACEBOOOOOOOKUUUUUUUUH.......... FIND HER IN SOCIAL INTERNET AS SARAI DE BEATY
Subscribe to:
Posts (Atom)