Eddie Ahmadys fashion blog
EDDIE AHMADYS BLOG
FASHION NEWS
Fashion Event
Work Shop
Models Activities
and more updates about Fashi0n Bloggers
in Town
IM EDDIE AHMADY....
Follow me on Twitter by @eddieahmady
Facebook Eddie Ahmady
BBM PIN:23855032
FASHION NEWS
Fashion Event
Work Shop
Models Activities
and more updates about Fashi0n Bloggers
in Town
IM EDDIE AHMADY....
Follow me on Twitter by @eddieahmady
Facebook Eddie Ahmady
BBM PIN:23855032
Tuesday, April 23, 2013
TANZANIAN MODEL PAUL KAMILI HE NOW RUNING HIS OWN BLOGSPOT
Mwanamitindo wa Tanzania Paul Kamili kwa sasa ana run blog yake mwenyewe japo hajaniambia itabase wapi hasa..... Mimi kama mwanamitindo mwenzake nampa support ya kutosha katika jambo hili....
hivi ndivyo Kamili alivo nicheki kwenye social net ya BLACKBERRY MESSENGER
Monday, April 22, 2013
THANKS FULL TO DADA TEDDY KAEGELE............. SHE IS A BUSINESS WOMAN,BLOGGER AND SOCIALIST
Huyu ni mama na dada yangu ambaye anaendesha biashara zake kama mtanzania na pia ni mmiliki wa BLOGSPOT hapa nchini, Naweza kusema bila dada huyu blog yangu isingefika hapa........ Amenisaidia kwa kiasi kikubwa mnooo kwa hali na mali, anapenda sana fashion na ni mdau mkubwa sana wa fashion hapa AFRICA...... MUCH RESPECT TO YOU DADA TEDDY
AFRICAN SUPER MODEL MILLEN MAGESE........ THE ONE HOW SUPPORTING FASHION CARRER IN TANZANIA
The one and only Tanzanian model ambaye kwa sasa anafanya kazi za mitindo nchini South Africa alioneshadhahiri kuwa anania ya kusaidia tasnia ya mitindo ikuwe hapa nchini,,,, mwaka jana mwezi wa sita mwanamitindo huyu alikuja nchini kwa ajili ya kufanya auditio ya kutafuta wanamitindo wachanga wanaochipukia ili awapeleke south africa kwa ajili ya kuwafanya wanamitindo hao wawe international models........... huu ni mfano wa kuigwa kwa venders wote wa mitindo hapa nchini............ SHOUT OUT FOR MAGESE IF YOU LIKE FASHION
Sunday, April 7, 2013
am headn to south Africa for fashion congress... That good for all fashionist. EDDIE MTICKASON AHMADY
Kesho naelekea Pretoria southafrica katika mkutano wa Fashion Development Policy.... Am proudest for being invited
EDDIE MTICKASON AHMADY (EDDIE AHMADY) SMALL BLOGGER IN TOWN......... NOW HE BACK AGAIN WITH KIDUKA CHA FASHION
NIKIWA KAMA BLOGGER NA MPENZI WA FASHION HAPA NCHINI KWETU TANZANIA NAPENDA KUTANGAZA TENA NIMERUDI KATIKA KUZITANGAZA KAZI ZA MITINDO KUPITIA BLOG YANGU YA KIDUKA......., WAPENZI NA WADAU WA FASHION HAPA NCHINI NAITAJI SUPPORT YENU....
Monday, April 1, 2013
we are Back again its you blogger and up coming fashionist EDDIE MTICKASON AHMADY
guyz kwanza kabisa naomba radhi mimi na team yangu nzima, tumekuwa kimya kwa kipindi kirefu bila ya update yeyote kwakweli ni matatizo ya kikazi na majukumu ndio yalio turudisha nyuma na kutufanya tushindwe kufanya kazi n kuwapatia kinacho endelea hapa kidukani kwetu ila kuanzia Leo tumerudi kazini na tuna ahidi uadilifu mkubwa katika Blog yetu, naombeni ushirikiano katika hali
Subscribe to:
Posts (Atom)