Eddie Ahmadys fashion blog

EDDIE AHMADYS BLOG
FASHION NEWS
Fashion Event
Work Shop
Models Activities
and more updates about Fashi0n Bloggers
in Town
IM EDDIE AHMADY....
Follow me on Twitter by @eddieahmady
Facebook Eddie Ahmady
BBM PIN:23855032

Tuesday, September 4, 2012

HUJUI KESHO UVAE NGUO GANI ILI UENDE KAZINI......

MWANAMKE  UNAEPENDA KUWA ON DATE NA UNAEPENDA UMARIDADI KATIKA KAZI YAKO UNATAKIWA UFATE PRINCIPLE ZA MAVAZI YA OFFICE......... SIKUZOTE KWA SIKU YA KATIKATI YA WEEK UNATAKIWA UVAE SUTI YA BLACK AU YA GRAY KAMA UNAVYO ONA HAPO JUU......... MAVAZI HAYA SIO KWA MA MANAGER TU HATA  KWA WAFANYAKAZI WA IDARA MBALI MBALI.......... NIMAVAZI YA HESHIMA NA INAKUPA MUONEKANO MZURI......

No comments:

Post a Comment